Home Siasa MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM MHE.DKT.MAGUFULI AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WALIOJITOKEZA UWANJA WA...

MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM MHE.DKT.MAGUFULI AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WALIOJITOKEZA UWANJA WA MKAPA JIJINI DAR ES SALAAM

0

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi mbalimbali waliojitokeza kwenye mkutano mkubwa wa kampeni wa CCM inayofanyika kwenye uwanja w aTaifa jijini Dar es salaam leo Ijumaa Oktoba 09, 2020.(PICHA NA JOHN BUKUKU) Baadhi ya Wananchi mbalimbali waliojitokeza kwenye uwanja wa Taifa ili kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli