Home Siasa MGOMBEA MWENZA MAMA SAMIA AENDELEA NA KAMPENI ZA CCM KATAVI

MGOMBEA MWENZA MAMA SAMIA AENDELEA NA KAMPENI ZA CCM KATAVI

0

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana  na kuzungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kijiji cha Magula Sitalike Mkoani Katavi alipokuwa njiani akielekea Mkoani Rukwa kwa ajili ya kuanza ziara ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Mkoa huo leo Octoba 09,2020.