Home Siasa KAMPENI ZA CCM JIMBO LA KAVUU MLALE

KAMPENI ZA CCM JIMBO LA KAVUU MLALE

0

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kijiji cha Majimoto Nkasi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  alipokuwa akuhutubia mkutano wa  kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Mukuyuni Majimoto Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi leo Octoba 09,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana  na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kijiji cha Majimoto Mlele alipowasili katika Uwanja wa Mukuyuni Majimoto Wilaya Mlele Mkoani Katavi kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Octoba 09,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Kitabu cha Ilani ya Utekelezaji wa Uchaguzi CCM 2020/25 kwa Mbunge mteule wa Jimbo la Kavuu Wilaya Mlele Mhe. Geophrey Mizengo Pinda kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM, katika mkutano uliofanyika leo Octoba 09,2020 katika uwanja wa Mukuyuni Majimoto Wilaya Mlele Mkoani Katavi.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Kavuu katika uwanja wa Mukuyuni Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi leo Octoba 09,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)