Pata nafasi ya kujishindia zawadi yenye thamani ya zaidi ya shillingi laki tano-500,000tsh lakini pia jinyakulie zawadi nyengine kama vile TECNO H2 earphone na TECNO S1 wireless speaker pale tu utakapoingia katika maduka ya TECNO na kufanya malipo (pre-order) ya awali sh.50,000 kwa jili ya simu bomba ya TECNO spark 5pro.
Ili kuwa miongoni mwa wateja wa kwanza kutumia TECNO spark 5pro unaweza kupre-Order kuanzia tarehe 8/10-16/10/2020 katika mikoa ifuatayo;
MKOA | DUKA | NAMBARI YA SIMU |
Dar es Salaam | Mlimani City Smart Hub, China plaza smart hub, Hyatt, Mobimart, Mashreq, Inorbit, Mercury, Raju n.k | 654843687 654304803 |
Mwanza | Jambo Mwanza Shop, Gift Shop 1, J.B.L Mobile, Katoro shop, Bukoba shop | 719083413 753144128 |
Arusha | CCM Babadi, Bus Terminal Arusha, | 715092100 |
Dodoma | Pablo shop | 764161011 |
Moshi | Totolee | 659392893 |
Mbeya | BM shop, TECNO Mbeya shop | 758442496 |
Lakini pia unaweza ku pre-order kupitia link hii https://docs.google.com/forms/d/1XphHiSvwjjSHLLox_2Nuq62x43Z53vtWZ9v1bq0M1tA/edit