Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa baraka la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi wa mikoa mitâtu ya Unguja katika Kongamano la Kihistoria la kuhubiri Amani na Upendo pamoja na dua katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja Leo
Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Kongamano la Kihistoria la kuhubiri Amani na Upendo pamoja na dua wakimsikiliza Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa baraka la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja
Baadhi ya Akinamama mbali mbali waliohudhuria katika Kongamano la Kihistoria la kuhubiri Amani na Upendo pamoja na dua wakimsikiliza Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa baraka la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja .[Picha na Ikulu.