Home Siasa MHE.SAMIA SULUHU AHUTUBIA WANANCHI WA MANONGA TABORA

MHE.SAMIA SULUHU AHUTUBIA WANANCHI WA MANONGA TABORA

0

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana  na Viongozi, Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Manonga Nkinga alipowasili katika Uwanja wa Ngege Nkinga Mkoani Tabora kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Octoba 03,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana  na kuzungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nzega Vijijini    alipokuwa njiani akielekea Wilayani Nzega kuendelea na mikutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Mkoa wa Tabora leo Octoba 03,2020.

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Manonga Nkinga Tabora  wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  alipokuwa akihutubia mkutano wa  kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Ngege Nkinga Mkoani Tabora leo Octoba 0,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Kitabu cha Ilani ya utekelezaji wa CCM  2020/25 Mbunge Mteule wa Jimbo la Nzega Vijijini Mhe. Hamis Kigwangala  aliposimama kwa ajili ya kusalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nzega Vijijini alipokuwa njiani akielekea Wilayani Nzega Mkoani Tabora kuendelea na mikutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Octoba 03,2020.

Baadhi ya Wateule wa Ubunge na Udiwani kwa tiketi ya CCM kwenye Baadhi ya Majimbo ya Uchaguzi Mkoani Tabora wakiwa wamepiga Magoti  mbele ya  Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi kuomba kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba 28, 2020, kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika  leo Octoba 03,2020 katika Uwanja wa Ngege Manonga Wilayani Nkinga  Mkoani Tabora ambapo Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiinadi Ilani ya Utekelezaji wa CCM 2020/25 kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Manonga Mkinga kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Uwanja wa Ngege Manonga Wilayani Nkinga  Mkoani Tabora leo Octoba 03,2020 .

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Kitabu cha Ilani ya utekelezaji wa CCM  2020/25 Mbunge Mteule wa Jimbo la Manonga Nkinga Tabora Seif Gulamali kwa ajili ya kuinadi kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM, katika mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Octoba 03,2020 katika Uwanja wa Ngege Manonga Wilaya Nkinga Mkoani Tabora.