Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama
hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
jeraha alilopata Ndugu Hamisi Nyange Makame maarufu kama Profesa Gogo
(63) aliyekatwa mapanga na wenzie wawili wakati wa Swala ya Alfajiri
katika msikiti
wa eneo la Kangagani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini. Rais Magufuli
alimtembelea majeruhi huyo ambaye ni msanii maarufu anayepatiwa
matibabu katika hospitali ya Mnazi Mmoja
alikolazwa mara tu baada ya kuwasili visiwani tayari kwa mikutano ya
kampeni leo Ijumaa Oktoba 2, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho
Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza
Ndugu Hamisi Nyange Makame maarufu kama Profesa Gogo (63) akisimulia
jinsi alivyokatwa mapanga na wenzie wawili wakati wa Swala ya Alfajiri
katika msikiti
wa eneo la Kangagani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini. Rais Magufuli
alimtembelea majeruhi huyo ambaye ni msanii maarufu anayepatiwa
matibabu katika hospitali ya Mnazi Mmoja
alikolazwa mara tu baada ya kuwasili visiwani tayari kwa mikutano ya
kampeni leo Ijumaa Oktoba 2, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho
Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji
Ndugu Hamisi Nyange Makame maarufu kama Profesa Gogo (63) aliyekatwa
mapanga na wenzie wawili wakati wa Swala ya Alfajiri katika msikiti
wa eneo la Kangagani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini. Rais Magufuli
alimtembelea majeruhi huyo ambaye ni msanii maarufu anayepatiwa
matibabu katika hospitali ya Mnazi Mmoja
alikolazwa mara tu baada ya kuwasili visiwani tayari kwa mikutano ya
kampeni leo Ijumaa Oktoba 2, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama
hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimtuza kofia
Ndugu Hamisi Nyange Makame maarufu kama Profesa Gogo (63) aliyekatwa
mapanga na wenzie wawili wakati wa Swala ya Alfajiri katika msikiti
wa eneo la Kangagani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini. Rais Magufuli
alimtembelea majeruhi huyo ambaye ni msanii maarufu anayepatiwa
matibabu katika hospitali ya Mnazi Mmoja
alikolazwa mara tu baada ya kuwasili visiwani tayari kwa mikutano ya
kampeni leo Ijumaa Oktoba 2, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mkuu wa Polisi wa Mjini Magharibi ACP Awadhi baada ya kumjulia hali Ndugu Hamisi Nyange Makame maarufu kama Profesa
Gogo (63) aliyekatwa mapanga na wenzie wawili wakati wa Swala ya
Alfajiri katika msikiti

PICHA NA IKULU