Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ramadhan Abdalla Ali jana alipofika viwanja vya mpira Jamhuri Makunduchi katika Mikutano wa kampeni za CCM inayoendelea.
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwasalimia Wanachama cha Mapinduzi na Wananchi waliohudhuria katika Mkutano wa CCMuliofanyika jana viwanja vya mpira Jamhuri Makunduchi katika Mikutano wa kampeni za CCM inayoendelea.
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi akiteta jambo na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi (kulia) katika Mkutano wa CCM uliofanyika jana viwanja vya mpira Jamhuri Makunduchi katika Mikutano wa kampeni za CCM inayoendelea.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed |Shein akifuatana na Viongozi wa CCM mara alipowasili kati ka viwanja vya mpira Jamhuri Makunduchi katika Mikutano wa kampeni za CCM inayoendelea.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed akisalimiana na Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi jana alipofika viwanja vya mpira Jamhuri Makunduchi katika Mikutano wa kampeni za CCM inayoendelea.[Picha na Ikulu