Home Siasa RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZANA WANANCHI WA MBALIZI AKIWA NJIANI KUELEKEA...

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZANA WANANCHI WA MBALIZI AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI SONGWE

0

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli  akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza kumlaki eneo la Mbalizi Jimbo la Mbeya Vijijini  wakati akielekea mkoani Songwe kuendelea na mikutano yake ya kampeni leo Alhamisi Oktoba 01.2020.

(PICHA NA JOHN BUKUKU-MBALIZI)

Mgombea ubunge wa jimbo la Mbeya Vijijini Bw. Olan Njeza akizungumza na kumuombea kura Rais Dk. JohnPombe Magufuli katika eneola Mbalizi mkoani mbeya wakati akielekea mkoani Songwe.

Mgombea ubunge wa jimbo la Mbeya Vijijini Bw. Olan Njeza akizungumza na kumuombea kura Rais Dk. John Pombe Magufuli katika eneo la Mbalizi mkoani mbeya wakati akielekea mkoani Songwe.

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila akiwa na Mkuu wa mkuu wa wilaya ya Mbeya mjini Ndugu Ntinika wakimsikiliza Rais Dk John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa Mbalizi.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndugu Rodrick Mpogolo akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa CCM mkoa wa mbeya wakati Rais Dk. John Pombe Magufuli aliposimama eneo la Mbalizi na kuzungumza na wananchi.

Picha mbalimbali zikionesha wananchi wa mbalizi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki Rais Dk. John Pombe Magufuli.