MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Mwinyi akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru
Ally, alipowasili katika uwanja wa Jamuhuri kuhudhuria mkutano wa
Kampeni ya CCM Mkoa wa Kusini Unguja leo.1-10-2020.(Picha na Ikulu)
NO.0259////MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa
Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mgombea Urais wa
Zanzibar MheDk. Hussein Mwinyi alipowasili uwanja wa Jamuhuri
Makunduchi kuhudhuriac mkutano wa kampeni ya mgombea Urais wa
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa

Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Ali Hassan Mwinyi,
alipowasili katika Uwanja wa Jamuhuri Makunduchi kuhudhuria mkutano wa
kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na
Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe Ali Hassan Mwinyi alipowasilim katika uwanja
wa mpira wa Jamuhuri Makunduchi kuhudhuria mkutano wa kampeni ya Mgombea
Urais wa Zanzibar Mhe Dk. Hussein Mwinyi.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally, wakiwa katika jukwaa
la viongozi wakati wa mkutano wa kampeni ya mgombea Urais wa Zanzibar
Mhe.Dk. Hussein Mwinyi , uliofanyika katika uwanja wa ,pira wa jamuhuri
Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja leo,1/10/2020.(Picha na Ikulu)
UMATI wa Wanachama wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia
mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Mwinyi
uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Jamuhuri Makunduchi Mkoa wa Kusini
Unguja leo 1/10/2020.(Picha na Ikulu)