Home Siasa MAELFU WAMIMINIKA UWANJA WA NDEGE JIJINI MBEYA KUMSIKILIZA RAIS DK JOHN POMBE...

MAELFU WAMIMINIKA UWANJA WA NDEGE JIJINI MBEYA KUMSIKILIZA RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI

0

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Philip Mangulaakisalimiana na Mgombea Ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Mh. Dk. Tulia Ackson Mwansasu mara baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni unaofanyika uwanja wa ndege wa zamani jijini Mbeya leo Jumatano Septemba 30.2020.

Mkutano huo unatarajiwa kuhutubiwa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli.

(PICHA NA JOHN BUKUKU-JIJINI MBEYA)

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Rodrick Mpogolo akijadiliana jambo na MNEC wa mkoa wa Iringa Bw. Salim Ahmed Abri Asas na mkuu wa mkoa wa Mbeya kulia Bw. Albert Chalamila katika mkutano huo unaofanyika kwenye uwanja wa ndege jijini Mbeya.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Rodrick Mpogolo akijadiliana jambo na MNEC wa mkoa wa Iringa Bw. Salim Ahmed Abri Asas na mkuu wa mkoa wa Mbeya kulia Bw. Albert Chalamila katika mkutano huo unaofanyika kwenye uwanja wa ndege jijini Mbeya.

Mkuu wa mkoa wa Mbeya kulia Bw. Albert Chalamila akisalimiana na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Mbeya katika mkutano huo unaofanyika kwenye uwanja wa ndege jijini Mbeya.

Baadhi ya viongozi mbalimbali wakiwa katika mkutano huo

Baadhi ya viongozi wa dini wakiwa katika mkutano huo unaofanyika kwenye uwanjawa Ndege wa zamani jijini Mbeya.

Dk. Harrison Mwakyembe na Dk.Mary Mwajelwa wakiteta jambo katika mkutano huo.

Baadhi ya viongozi mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.

Picha mbalimbali zikionesha wananchi mbalimbali waliojitokeza kwenye uwanja wa Ndege wa zamani jijini Mbeya ili kumsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli wakati atakapowahutubia na kuwaombakura.