Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubi Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Bashnet Wilaya ya Babati Vijijini mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Mnadani Bashnet Babati Vijijini Mkoani Manyara leo Septemba 29,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Ayalagaya na Darega Babati alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Babati Vijijini Mkoani Manyara kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 29,2020.
Mtoto Hussein Saito (6) Mkaazi wa Kijiji cha Bashnet Wilaya ya Babati Vijijini akiwa na Kuku wake anaemuuza kwa Tshs. 5000 wakati alipokuwa akimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokuwa akihutubia mkutano wa kampen za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Mnadani Bashnet Wilaya ya Babati vijijini Mkoani Manyara leo Septemba 29,2020.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kijiji cha Bashnet Babati Vijijini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Mnadani Babati Vijijini Mkoani Manyara leo Septemba 29,2020.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kijiji cha Ayalagaya Babati Mkoani Manyara wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwasalimia akiwa njiani akielekea Bashnet Babati Vijijini Mkoani Manyara kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 29,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kijiji cha Bashnet Babati Vijijini alipowasili katika Uwanja wa Mnadani Bashnet Wilaya ya Babati vijijini Mkoani Manyara leo Septemba 29,2020 kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM.