Home Siasa RAIS DK.JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MPUNGUZI DODOMA AKIWA NJIANI...

RAIS DK.JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MPUNGUZI DODOMA AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI IRINGA

0

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Mpunguzi jimbo la Dodoma mjini mkoani Dodoma akiwa njiani kuelekea mkoani Iringa leo Jumatatu Septemba 28, 2020.

Baadhi ya wananchi wakiwa na Mabango yenye Picha za Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli na Mgombea Ubunge wa jimbo la Dodoma mjini Ndugu Anthony Mavunde.

Mgombea Ubunge  wa jimbo la Dodoma mjini Ndugu Anthony Mavunde akizungumza na wapiga kura wake na kumuombea kura Mh. Rais Dk. John Pombe Magufuli.

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kumlaka mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli katika mji wa Mpunguzi mkoani Dodoma akiwa njiani Kuelekea mkoani Iringa.