MGOMBEA Ubunge Jimbo la Mwera, Zahor Mohammed Haji, akizungumza na wananchi wa Jimbo hilo wakati w Mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mwera Mahakamani mjini Unguja jana. Katika mkutano huo aliyekuwa mwanachama wa CUF, Adam Hassan Mohammed, alirudisha fomu ya CUF na kujiunga na CCM.
MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mfenesini, Kessy Ramadhan Mussa, akimtambulisha mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwera, Zahor Mohammed Haji, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mwera Mahakamani, mjini Unguja.
MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mfenesini, Kessy Ramadhan Mussa, akimtambulisha mwanachama mpya, aliyerudisha fomu na kujiunga na CCM akitokea chama cha CUF, Adam Hassan Mohammed, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mwera Mahakamani mjini unguja jana.