Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Mkutano wa Uzinduzi wa awamu ya tatu ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 27,2020 zilizofanyia katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Zoisa Kongwa Mkoani Dodoma.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Kongwa Dodoma wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akihutubia mkutano wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 27,2020 zilizofanyika katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Zoisa Mkoka Kongwa Mkoani Dodoma.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi kitabu cha Ilani ya utekelezaji wa CCM 2020/25 Mbunge mteule wa Jimbo la Kongwa Dodoma Mhe. Job Ndugai kwenye Mkutano wa Uzinduzi wa awamu ya tatu ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Septemba 27,2020 katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Zoisa Mkoka Kongwa Mkoani Dodoma.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Kongwa Dodoma baada ya kuwahutubia Mkutano wa Uzinduzi wa awamu ya tatu ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 27,2020 katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Zoisa Kongwa Mkoani Dodoma. Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana Mtoto Leopatra Michael (6) Mwanafuzi wa Darasa la 2 katika Shule ya Msingi Ndachi Kongwa Mkoani Dodoma alipokutana nae katika Kijiji cha Songambele akiwa njiani akielekea katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Zoisa Kongwa kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa Uzinduzi wa awamu ya tatu ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 27,2020
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)