Home Michezo LIVERPOOL YAISHINDILIA 7-2 LINCOLN CITY NA KUSONGA MBELE CARABAO...

LIVERPOOL YAISHINDILIA 7-2 LINCOLN CITY NA KUSONGA MBELE CARABAO CUP

0

Wachezaji wa Liverpool wakipongezana kwa ushindi wa 7-2 dhidi ya Lincoln City kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup usiku wa jana Uwanja wa LNER Jijini Lincoln.

Mabao ya Lverpool yalifungwa na Xherdan Shaqiri dakika ya tisa, Takumi Minamino dakika ya tisa 18 na 46, Curtis Jones dakika ya 32 na 36, Marko Grujic dakika ya 65 na Divock Origi dakika ya 89, wakati ya Lincoln yalifungwa na Adetayo Edun akika ya 60 na Lewis Montsma dakika ya 66 PICHA ZAIDI SOMA HAPA