Home Mchanganyiko ENG.BAROZI AKAGUA MRADI WA UJENZI WA BARABARA KATIKA MJI WA SERIKALI MTUMBA...

ENG.BAROZI AKAGUA MRADI WA UJENZI WA BARABARA KATIKA MJI WA SERIKALI MTUMBA MKOANI DODOMA

0

Msajili wa Bodi wa Wahandisi nchini (ERB), Eng. Patrick Barozi akifafanua jambo alipokagua mradi wa ujenzi wa barabara katika mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma.

Muonekano wa barabara zinazojengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma.

Muonekano wa kalvat linalojengwa kuunganisha barabara za mzunguko katika mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma.

Mtaalam wa ujenzi wa viwanja vya ndege eng. Focus Kadeghe akifafanua jambo kwa wahandisi kutoka Bodi ya Usajili wa wahandisi nchini (ERB), walipokagua ukarabati wa kiwanja cha ndege cha Dodoma.

Eng. Nzigula Sospeter mkuu wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha Zuzu jijini Dodoma akifafanua jambo kwa wahandisi toka (ERB),hawapo pichani walipokagua ukarabati wa kituo hicho.