MGOMBEA
Ubunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu akizungumza na wananchi wa Kata ya Duga Jijini Tanga wakati wa mkutano wake wa kampeni
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu akizungumza na wananchi wa Kata ya Duga Jijini Tanga wakati wa mkutano wake wa kampeni |
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu kushoto akimnadi mgombea udiwani wa Kata ya Duga (CCM) |
MWENYEKITI wa UWT Mkoa wa Tanga Dkt Aisha Kigoda akimuombea kura kwa wananchi wa Kata ya Duga mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu |
Mkuu wa Mkoa Mstaafu Mwatumu Mahiza akimuombea Kura mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga (CCM)Ummy Mwalimu |
KATIBU Mwenezi wa CCM wilaya ya Tanga Lupakisyo kapange akimuombea kura Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu wakati wa mkutano huo |
MGOMBEA Ubunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) Mhandisi Mwanaisha Ulenge |
Umati Mkubwa wa wananchi wakimsikiliza mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Ummy Mwalimu(CCM)
Umati Mkubwa wa wananchi wakimsikiliza mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Ummy Mwalimu(CCM)
Msanii wa mziki wa Bongofleva Kassim Mganga akitumbuiza wakati wa mkutano huo
Msanii wa mziki wa Bongofleva Kassim Mganga akitumbuiza wakati wa mkutano huo
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin-top:0in;
mso-para-margin-right:0in;
mso-para-margin-bottom:10.0pt;
mso-para-margin-left:0in;
line-height:115%;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:11.0pt;
font-family:”Calibri”,”sans-serif”;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-ascii-theme-font:minor-latin;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-hansi-theme-font:minor-latin;
mso-bidi-font-family:”Times New Roman”;
mso-bidi-theme-font:minor-bidi;}
MGOMBEA
Ubunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu amesema iwapo atachaguliwa kuwa
mbunge wa jimbo hilo atapigania maboresho ya awamu ya pili ya Bandari ya Tanga
ili kuongeza fursa za ajira na kuongeaza vipato vya wakazi wa Jiji hilo.
Ummy
ambaye pia ni Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto
aliyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi wa Kata ya Duga Jijini Tanga katika
mkutano wake wa kampeni alisema huo ni mkakati wake wa kutaka kuona meli kubwa
zinatia nanga kwenye bandari hiyo.
“Ndugu
zangu wana Duga naombeni kura zenu niweze kulibadilisha Jiji la Tanga kwa
kuhakikisha tunasukuma maboresho ya awamu ya pili ya Bandari ya Tanga kuweza
kuongeza fursa za ajira kwa vijana”Alisema
Alisema
pia licha ya uwepo wa fursa za ajira kwa vijana lakini pia vipato vya wakazi wa
mji wa Tanga vitaongezeka kutokana na mzunguko mkubwa wa biashara .
“Katika
hili tunamshukuru Rais Dkt John Magufuli kwa kutuwezesha milioni 372 kwa ajili
ya maboresha ya awamu ya kwanza ya Bandari hiyo lengo langu ni kutaka bandari
ya Tanga meli kubwa zote ziweze kutia nanga kwenye bandari”Alisema
Alisema
meli hizo kubwa zikitia nanga kwenye Bandari hiyo itawawesha vijana waweze kupata
ajira wanaume na wanawake na mji utachangamka na hivyo kuchochea kipato cha mtu
mmoja mmoja na jamii kwa ujumla.
“Nitumeni
Bungeni ninaaminika ninaweza kupiga hodi kwa kiongozi yoyote, waziri yoyote ili
bandari ya Tanga iweze kuboreshwa na kuweza kufungua fursa za ajira kwa vijana
wanawake na wanaume “Alisema
Hata
hivyo alisema kwamba amedhamiria kupigania mizigo yote inayokwenda mikoa ya
kanda ya kaskazini ishushwe kwenye bandari ya Tanga badala ya Dare s Salama ili
mji huo uweze kuchangamsha .
“Hili
nitalipigania usiku na mchana ili kuweza kurejesha heshima ya Jiji la Tanga
nataka kuona mji huu unapata mafanikio makubwa na kuwa kama Singapori.