Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Itigi katika wilaya Manyoni mkoani Singida mara baada ya kumaliza mikutano ya Kampeni katika mkoa wa Tabora
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wananchi wa Itigi wilayani Manyoni mkoani Singida mara baada ya kuwasili akitokea mkoani Tabora.
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akicheza mziki pamoja na baadhi ya Wagombea Ubunge wa CCM kwa mkoa wa Singida mara baada ya kuhutubia mkutano wa Kampeni Itigi mkoani Singida leo tarehe 22 Septemba 2020
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga baadhi ya Wagombea Ubunge wa CCM kwa mkoa wa Singida mara baada ya kuhutubia mkutano wa Kampeni Itigi mkoani Singida leo tarehe 22 Septemba 2020
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono na kuwaaga wananchi wa Itigi mara baada ya kuwahutubia katika mkutano wa Kampeni wilayani Manyoni mkoani Singida.
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru wananchi wa Itigi mara baada ya kuhutubia mkutano wa Kampeni leo tarehe 22 Septemba 2020 mkoani Singida.
PICHA NA IKULU