Timu ya wafanyakazi wa TBL wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu,Philip Redman katika picha ya Pamoja baada ya kutoa elimu katika baa ya Calabash jijini Dar es Salaam Wafanyakazi wa mabaa kutoka mikoa ya Mwanza,Mbeya na Arusha wakiwa na mabango yenye jumbe za unywaji kistaarabu zilizotolewa na TBL
***********************************
Kampuni bia Tanzania (TBL) mwishoni mwa wiki iliadhimisha Siku ya Unywaji bia kistaarabu duniani kwa kutoa elimu ya unywaji kistaarabu kwenye mabaa katika mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya na Arusha.