Home Michezo SADIO MANE APIGA MBILI LIVERPOOL YAICHAPA 2-0 CHELSEA PALE PALE DARAJANI

SADIO MANE APIGA MBILI LIVERPOOL YAICHAPA 2-0 CHELSEA PALE PALE DARAJANI

0

Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal, Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika ya 50 na 54 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, LondonĀ PICHA ZAIDI SOMA HAPA