Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal, Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika ya 50 na 54 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, LondonĀ PICHA ZAIDI SOMA HAPA
SADIO MANE APIGA MBILI LIVERPOOL YAICHAPA 2-0 CHELSEA PALE PALE DARAJANI
By Alex Sonna
September 20, 2020 | 7:48 pm

Related Stories
View all
Michezo
1 day ago
HISTORIA NA MAFANIKIO YA TANZANIA PRISONS SC YAWEKWA WAZI KWA MASHABIKI, JIJINI DODOMA
Na. Ssgt Mawazo Mtondo – Dodoma. Mkuu wa Sehemu ya Huduma kwa wafungwa (OMS)Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Emmanuel Malisa,…
Michezo
2 days ago
SIMBA SC YAWASHA ‘MOTO’ CRDB FEDERATION CUP
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya TRA United katika mchezo wa kuisaka tiketi ya kufuzu nusu…
