Home Siasa RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WAKATA YA NSIMBO MKOANI...

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WAKATA YA NSIMBO MKOANI KIGOMA

0

Mgombea Urais kupitia  (CCM) Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anaongea na wananchi wa kata ya Nsimbo mkoani Kigoma wakati akiwa njiani kuelekea Urambo mkoani Tabora tayari kwa mikutano yake wa kampeni leo Jumapili  Septemba 20, 2020.

Picha mbalimbali zikionesha Baadhi ya wananchui wa kata ya Nsimbo mkoani Kigoma waliojitokeza kumlaki Mgombea Urais kupitia  (CCM) Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwa njiani kuelekea Urambo mkoani Tabora.