Home Uncategorized RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KALIUA JIONI HII

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KALIUA JIONI HII

0

Mgombea Urais kupitia  (CCM) Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi  wa Kaliua mkoani Tabora waliojitokeza kumlaki na kumsikiliza akiwa njiani kuelekea Urambo mkoani humo. 

Mgombea Urais kupitia  (CCM) Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akiomba kura alipozungumza na wananchi  wa Kaliua mkoani Tabora waliojitokeza kumlaki na kumsikiliza akiwa njiani kuelekea Urambo mkoani humo. 

Baadhi ya wagombea wa udiwani kupitia cha cha Mapinduzi wilayani Kaliua wakiwa katika mkutano huo.

Mgombea Urais kupitia  (CCM) Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020/2025 wakati akiomba kura alipozungumza na wananchi  wa Kaliua mkoani Tabora waliojitokeza kumlaki na kumsikiliza akiwa njiani kuelekea Urambo mkoani humo. 

Mgombea Ubunge jimbo la Kaliua kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Kwesi  akumombea kura Rais Dk. John Pombe Magufuli wakati alipopewa nafasi hiyo ili kuomba kura mjini Kaliua.

Baadhi ya picha zikionesha maelfu ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli.