Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala wakishangilia mara baada ya mapokezi alipowasili katka viwanja vya Mpira Nungwi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Nungwi Wilaya ya Kaskazini Mkoa wa Kaskazini Unguja.[Picha na Ikulu.] 20/09/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Bw.Iddi Ali Ameir alipowasili katka viwanja vya Mpira Nungwi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Nungwi Wilaya ya Kaskazini Mkoa wa Kaskazini Unguja.[Picha na Ikulu.] 20/09/2020.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala mara alipowasili katka viwanja vya Mpira Nungwi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Nungwi Wilaya ya Kaskazini Mkoa wa Kaskazini Unguja.[Picha na Ikulu.] 20/09/2020.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Chama wa CCM na Wananchi wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za CCM Uliofanyika leo Nungwi Wilaya ya Kaskazini Mkoa wa Kaskazini Unguja.[Picha na Ikulu.] 20/09/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala alipowasili katka viwanja vya Mpira Nungwi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Nungwi Wilaya ya Kaskazini Mkoa wa Kaskazini Unguja.[Picha na Ikulu.] 20/09/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi alipowasili katka viwanja vya Mpira Nungwi katika Mkutano wa Kampeni za CCM liofanyika leo Nungwi Wilaya ya Kaskazini Mkoa wa Kaskazini Unguja.[Picha na Ikulu.] 20/09/2020.
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi akiwemo Mgombea Urais wa Zanzibar Suleiman Nassor (Taulo)(wa pili kulia) wakifuatilia kwa makini Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Nungwi Wilaya ya Kaskazini Mkoa wa Kaskazini Unguja ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu.] 20/09/2020.