Home Siasa MAELFU YA WANANCHI WAMLAKI RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI KAZURAMIMBA UVINZA

MAELFU YA WANANCHI WAMLAKI RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI KAZURAMIMBA UVINZA

0

Mgombea Urais kupitia  (CCM) Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anaongea na wananchi wa Kazuramimba wilayani Uvinza mkoani Kigoma wakati akiwa njiani kuelekea Urambo mkoani Tabora tayari kwa mikutano yake wa kampeni leo Jumapili  Septemba 20, 2020.

Picha mbalimbali zikionesha Baadhi ya wananchi wa Kazuramimba wilayani Uvinza  mkoani Kigoma waliojitokeza kumlaki Mgombea Urais kupitia  (CCM) Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwa njiani kuelekea Urambo mkoani Tabora.