Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kijiji cha Kipingu na Ilela Ludewa alipowasuili Wilayani Ludewa Mkoani Njombe leo Septemba 18,2020 kwa ajili ya kuanza ziara ya mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye Kivuko cha MV. Ruhuhu akitokea Mkoani Ruvuma na kuelekea Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kwa ajili ya kuanza ziara ya mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 18,2020. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Odo Kilian Mwisho.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiteremka kutoka katika Kivuko cha MV. Ruhuhu akitokea Mkoani Ruvuma, alipowasili katika Kijiji cha Kipingu Wilayani Ludewa Mkoani Njombe kwa ajili ya kuanza ziara ya mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 18,2020.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)