Mgombea Urais wa CCM Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akipokea Ilani ya Chama cha Mapinduzi 2020-2025 kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein mara baada ya kumtambulisha kwa wanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika Uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu Mwezi Octoba zilizofanyika leo uwanja wa Gombanio ya Kale Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.[]Piocha na Ikulu] 16 Sep 2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala katika Uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu Mwezi Octoba zilizofanyika leo uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.[]Piocha na Ikulu] 16 Sep 2020.
Maelfu ya Wanachi na WanaCCM wa Mikoa wa Pemba wakiwa katika UIzinduzi wa Kampeni za CCM kwa Kuwatambulisha na kuwaombea Kura wagombea wa nafasi mbali mbali ikiwemo Urais wa Zanzibar,Ubunge,Uwakilishi na Udiwani katika Uwanja wa Gombani ya Kale Wilaya ya Chakechake Pemba leo.[Picha na Ikulu.] 16/Sep 2020.