Home Siasa RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI BUKOBA NA BIHARAMULO

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI BUKOBA NA BIHARAMULO

0

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza  kumsikiliza kwenye uwanja wa Gymkana mjini Bukoba katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Jumatano Septemba 16, 2020. 

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Karagwe wakati akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza  kumsikiliza kwenye uwanja wa Gymkana mjini Bukoba katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Jumatano Septemba 16, 2020.

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Gymkana mjini Bukoba ambapo amewahutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo Jumatano Septemba16, 2020. 

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono na Katinu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Humphrey Polepole wakati alipowasili kwenye uwanja wa Gymkana mjini Bukoba ambapo amewahutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo Jumatano Septemba 16, 2020. 

Baadhi ya viongozi wa dini walioshiriki na kuombea mkutano huo uliofanyika leo Jumatano Septemba 16, 2020 mjini Bukoba.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Mzee Steven Wasira akipunga mikono wakati alipokuwa akitambulishwa katika mkutano huo.

Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Bukoba mjini Advocate Steven Byabato akiwasalimia wananchi wa Bukoba kwa kuwapungia mikono.

Maelfu na wananchi wakiwa katika viwanja vya Gymkana mjini Bukoba ili kumsikiliza mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)

Picha mbalimbali zikionesha maelfu ya wananchi wakimshangilia mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli hayupo pichani kwenye uwanja wa CCM mjini Biharamulo mchana huu..