Home Siasa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Magufuli ahutubia...

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Magufuli ahutubia maelfu ya Wananchi wa mkoa wa Kagera

0

Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya Wananchi wa mkoa wa Kagera katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya Gymkhana Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 16 Septemba, 2020

Sehemu ya Wananchi wa mkoa wa Kagera waliokusanyika katika Viwanja vya Gymkhana kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 16 Septemba, 2020