Home Siasa RAIS DK. MAGUFULI AWASALIMIA WANANCHI WA MUGANZA CHATO

RAIS DK. MAGUFULI AWASALIMIA WANANCHI WA MUGANZA CHATO

0

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa kata ya Muganza Chato wakati akielekea Bukoba mkoani Kagera  leo tarehe 15 Septemba 2020.

(PICHA NA JOHN BUKUKU-MUGAZA -CHATO)

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo alipowasalimia Wananchi wa kata ya Muganza Chato wakati akielekea Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 15 Septemba 2020.

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Zakia Meghji Muganza Chato mkoani Geita wakimsikiliza Rais Dk. John Pombe Magufuli alipozungumza nao akiwa njiani kulekea Bukoba mkoani Kagera leo.