Home Siasa Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Rais Dkt. Magufuli Akizungumza na Wananchi...

Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Rais Dkt. Magufuli Akizungumza na Wananchi wa Muleba Mkoani Kagera

0

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya Wananchi wa Wilaya ya Muleba mkoani Kagera leo tarehe 15 Septemba 2020.

Sehemu ya Wananchi wa Muleba mkoani Kagera wakishangilia mara baada ya Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili Muleba mjini leo tarehe 15 Septemba 2020.

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kyamyorwa Muleba mkoani Kagera leo tarehe 15 Septemba 2020 katika Mikutano ya Kampeni za CCM

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kashalunga Muleba mkoani Kagera leo tarehe 15 Septemba 2020 katika Mikutano ya Kampeni za CCM

Wananchi wa Nyambirembe na Kashalunga Muleba mkoani Kagera wakishangilia mara baada ya Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika maeneo hayo kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 15 Septemba 2020

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nyamirembe Chato mkoani Geita

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kemondo mkoani Kagera katika mikutano ya Kampeni za CCM wakati akielekea Bukoba mkoani Kagera

PICHA NA IKULU