Home Siasa MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AFURAHIA MKUTANO WAKE CHATO, AAGA...

MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AFURAHIA MKUTANO WAKE CHATO, AAGA KWA TABASAMU NA BASHASHA BAADA YA KUMALIZA KUHUTUBIA

0

Wasanii wa TMK Wanaume wakitumbuiza wakati wa mkutano wa
hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia
ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Mazaina mjini
Chato mkoa wa Geita uliohudhuriwa na  maelfu kwa maelfu ya wananchi
kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Septemba 14, 2020

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amejawa furaha na bashasha
akiondoka katika viwanja vya Mazaina mjini Chato mkoa wa Geita baada
ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi kwenye mkutano wake wa
hadhara wa kampeni leo Septemba 14, 2020

Wasanii wa TMK Wanaume Mheshimiwa Temba (kushoto) na KR  wakiwa na
Nyumndo na Jembe ambazo ni alama kuu za CCM wakati wa mkutano wa