Maelfu kwa maelfu ya wananchi wakiwa katika Uwanja wa Mazaina mjini Chato mkoani Geita kumsikiliza mgombea wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa hadhara wa kampeni leo
(PICHA NA IKULU)
Mgombea wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia
ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvisha kofia ya CCM msanii Rajabu
Abdul Kahali maarufu kama Harmonize baada ya kutumbuiza kwenye mkutano
wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa Mazaina
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya Wananchi wa Wilaya ya Chato katika mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika uwanja wa Mazaina Chato mkoani Geita.
Sehemu ya Wananchi waliofurika katika uwanja wa Mazaina Chato mkoani Geita kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wakati akiondoka katika viwanja vya Mazaina mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Chato mkoani Geita.
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Chato
PICHA NA IKULU