Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea jambo na maafisa wa Uganda baada ya Rais wa Jamhuri ya Uganda
Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kuondoka kurejea nyumbani baada ya kutia
saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa
Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye
sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo
Jumapili Septemba 13, 2020
Ngoma ya Rubirigi ya Kabila la Wasukuma wakitumbuiza wakati Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa
Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakitia saini Waraka wa
Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta
kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi
iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo Jumapili
Septemba 13, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakitia saini
Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la
Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi
iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo Jumapili
Septemba 13, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri
Kaguta Museveni alipowasili kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza
kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda)
hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege
wa Chato mkoani Geita leo Jumapili Septemba 13, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akifurahia jambo wakati wa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya
Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakati wa sherehe fupi ya kutia
saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa
Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania)
iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo Jumapili
Septemba 13, 2020Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akiongea
baada ya kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa
Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania)
kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita
leo Jumapili Septemba 13, 2020