Home Siasa MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DK.SHEIN AZINDUA KAMPENI ZA CCM ZANZIBAR

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DK.SHEIN AZINDUA KAMPENI ZA CCM ZANZIBAR

0

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwapungia mkono Wanachama wa CCM alipowasili katika viwanja vya Kibanda Maiti (Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti ) wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za CCM leo mchana 

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akimsalimia Mama Fatma Karume alipowasili katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za CCM

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi, alipowasili katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM Zanzibar 

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Kibanda Maiti Jijini Zanzibar , kabla ya kumtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge wa Jimbio la Chumbuni Zanzibar Mhe. Ussi Salum Pondeza, wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM Zanzibar, uliofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge wa Jimbio la Jangombe Zanzibar Mhe.Ali Hassan Omar ( King) wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM Zanzibar, uliofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe. Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi, katika ufunguzi wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa  Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe. Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za CCM zilizofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM, baada ya kukabidhiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) katika hafla ya ufunguzi wa Kampen I ya CCM zilizofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)