Home Siasa RAIS DK. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI MJINI GEITA

RAIS DK. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI MJINI GEITA

0

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji wa Geita kwenye uwanja wa Kalangalala leo Jumatano Septemba 9,2020 wakati mkutano wa Kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28,2020 nchini kote.

(PICHA NA JOHN BUKUKU – GEITA)

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono  wananchi wa mji wa Geita kwenye uwanja wa Kalangalala leo Jumatano Septemba 9,2020 wakati mkutano wa Kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28,2020 nchini kote.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwasili  kwenye uwanja wa Kalangalala ili kuwahutubia wananchi wa mji wa Geita mjini leo Jumatano Septemba 9,2020 kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28,2020 nchini kote.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Kalangalala mjini Geita leo Jumatano Septemba 9,2020 wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais kupitia (CCM)Dk. John Pombe Magufuli. 

Baadhi ya viongozi wa dini wakiwa katika mkutano huo mjini Geita.

Baadhi ya viongozi mbalimbali wakiwa katika mkutano huo uliofanyika kwenye uwanja wa Kalangalala mjini Geita.

Msanii Baraka The Prince akitumbuiza kwenye mkutano huo.

Mwanamuziki Fid Q akitumbuiza katika mkutano huo uliofanyika kwenye uwanja wa Kalangalala mjini Geita.

Mgombea ubunge jimbo la Geita Vijijini Bw. Joseph Kasheku Musukuma akizungumza na kumuombea kura Rais Dk. John Pombe Magufuli.

Mgombea ubunge jimbo la Bukombe  Bw. Bw. Dotto Biteko  akizungumza na kumuombea kura Rais Dk. John Pombe Magufuli.

Mgombea ubunge jimbo la  Chato Dk. Meldad Kalemani  akizungumza na kumuombea kura Rais Dk. John Pombe Magufuli.

Mgombea ubunge jimbo la Geita Bw. Constantine Kanyasu akizungumza na kumuombea kura Rais Dk. John Pombe Magufuli.

Wanamuziki wa Khadija Kopa na Abdul Misambano nao wapo katika kunogesha kampeni hizo.

Maelfu ya wananchi wakiwa