Home Siasa RAIS DK. MAGUFULI AWASILI UWANJA WA CCM KIRUMBA, MAELFU YA WANANCHI WAFURIKA...

RAIS DK. MAGUFULI AWASILI UWANJA WA CCM KIRUMBA, MAELFU YA WANANCHI WAFURIKA KUMSIKILIZA

0

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi mkono mara baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni mkubwa unaofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza muda huu kwa ajili ya kuwahutubia wananchi waliofurika uwanjani hapo ili kumsikiliza

Mgombea Ubunge wa jimbo la Buchosa kwa tiketi ya (CCM)Bw. Eric Shigongo James akimuombea kura Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni mkubwa unaofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza muda huu.

Mgombea Ubunge wa jimbo la Kwimba kwa tiketi ya (CCM)Shanif Mansoor akimuombea kura Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni mkubwa unaofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza muda huu.

Baadhi ya viongozi mbalimbali wa CCM wakiwa tayari wameketi jukwaa kuu katika mkutano wa kampeni ambao mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli atahutubia kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Maelfu ya wananchi wakiwa wamejitokeza kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mawanza kwa ajili ya kumsikiliza mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli.