Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani katika mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya kijiji cha Ikwiriri leo Septemba 07,2020.