Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Jumatatu
Wagombea nafasi za Udiwani katika mkoa wa Mwanza wakisalimia kwa push-up na nyimbo za hamasa Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mbele ya maelfu kwa maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza
Msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz akitumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha kofia Msanii wa Bongo Flavor Nasib Abdul Diamond ambaye alikuwa akitumbuiza katika Mkutano ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo tarehe 7 Septemba, 2020 jijini Mwanza
Msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz akifurahia
kofia aliyopewa zawadi na mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Chama hicho tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu
ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM Kirumba
jijini Mwanza
Mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho
tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akipungiana mikono na msanii Zuchu aliyetumbuiza maelfu kwa maelfu ya
wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM Kirumba jijini
Mwanza.
Mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama
hicho tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akiaga maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa
kampeni Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza
Msanii Zuhura Kopa maarufu kama Zuchu akitumbuiza maelfu kwa
maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM
Kirumba jijini Mwanza
Sehemu ya umati wa maelfu kwa maelfu ya wananchi uliojitokeza kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Jumatatu Septemba 7, 2020