Home Siasa RAIS MAGUFULI ATIKISA JIJI LA MWANZA, KUHUTUBIA MKUTANO MKUBWA CCM KIRUMBA

RAIS MAGUFULI ATIKISA JIJI LA MWANZA, KUHUTUBIA MKUTANO MKUBWA CCM KIRUMBA

0

Wananchi wa jiji la Mwanza wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika maeneo ya Igoma, Nyakato Buzuluga na Mabatini jijini Mwanza kumpokea Mgombea wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ambaye amewasili mkoani Mwanza kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za Urais hapo kesho ktk uwanja wa CCM Kirumba.