Home Siasa MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT....

MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA MUSOMA MKOANI MARA

0

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Musoma katika mkutano wa Kampeni za Urais kwa upande wa CCM zilizofanyika katika viwanja wa Mukendo mkoani Mara.  Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere ambaye alimuombea Kura katika mkutano wa Kampeni za Urais kwa upande wa CCM zilizofanyika katika viwanja wa Mukendo mkoani Mara.

Sehemu ya Wanachi waliokusanyika katika uwanja wa Mukendo Musoma mkoani Mara kwa ajili ya kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya Mukendo kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa Musoma mkoani Mara.