Home Siasa MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA UWT...

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA UWT “UMOJA WETU WANAWAKE NDIO NGUVU YETU”

0

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi
(CCM) Mhe Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwahutubia  Wajumbe wa Kongamano
la (UWT) Umoja Wetu Wanawake Ndio Ngavu Yetu” lililofanyika katika
ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini Zanzibar(Picha na
Ikulu)

MGOMBEA Urais wa Zanzibar Mhe Hussein Ali Hassan Mwinyi
akisalimiana na Wazee wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakati wa
hafla ya Kongamano la “Umoja Wewtu Wanawake Ndio Nguvu Yetu”
lililoandaliwa na UWT katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani
Jijini Zanzibar(Picha na Ikulu) WAJUMBE wa Kongamano la “Umoja Wetu Wanawake Ndio
Nguvu Yetu” wakishangilia wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo
lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini
Zanzibar.(Picha Ikulu)MKE wa Rais Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akihutubia
katika hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Umoja wa Wanawake Tanzania 
(UWT)  “Umoja Wetu Wanawake Ndio Nguvu Yetu”lililofanyika katika ukumbi
wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini Zanzibar. Lililowashirikisha
Viongozi wa UWT na Wagombea Ubunge na Uwakilishi Zanzibar. (Picha na
Ikulu)

WAJUMBE wa Kongamano la (UWT) “Umoja Wetu Wanawake Ndio Nguvu
Yetu” wakishangilia wakati wa kutambulishwa kwa Mgombea Urais wa
Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) lililofanyika katika ukumbi
wa Afisi  ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini Zanzibar.(Picha Ikulu)

MWENYEKITI  wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mhe. Gaudentia
Kabaka akimtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha
Mapinduzi  (CCM) Mhe.Hussein Ali Hassan Mwinyi na (kulia kwa Mgombea)
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Makamu wa Pili
wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi, wakati wa hafla ya Kongamano la
“Umoja Wetu Wanawake Ndio Nguvu Yetu”) lililofanyika katika ukumbi wa
Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)