Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Kibaha Vijijini kata ya Mtambani Wilayani Kibaha Mkoani Pwani baada ya kuwahutubia mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Kibaha Vijijini Wilayani Kibaha Mkoani Pwani kwenye mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Kibaha Vijijini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Viwanja vya Stendi ya Zamani Kibaha Mkoani Pwani leo Septemba 04,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)