Home Mchanganyiko TPDC YASHIRIKI MAONESHO YA WAHANDISI 2020 JIJINI DODOMA

TPDC YASHIRIKI MAONESHO YA WAHANDISI 2020 JIJINI DODOMA

0

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said (kushoto) akipata maelezo kuhusu miradi mbalimbali ya TPDC kutoka kwa Meneja Mkuu wa GASCO, Kampuni Tanzu ya TPDC, Mhandisi Baltazar Mrosso alipotembelea banda la TPDC wakati wa maonesho ya siku ya Wahandisi yanayoendelea Jijini Dodoma, mwingine pichani ni Bi Marie Msellemu, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano TPDC

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la TPDC wakati wa maonesho ya siku ya Wahandisi yanayoendelea Jijini Dodoma,aliyesimama ni  Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano TPDC Bi Marie Msellemu