Home Uncategorized MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI AJIMWAGA STEJINI NA CHEGE CHIGUNDA KATIKA...

MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI AJIMWAGA STEJINI NA CHEGE CHIGUNDA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI SHI|NYANGA

0

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama
hicho tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiserebuka na msanii wa
Bongo Fleva Chegge Chigunda wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni
katika Uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga leo Alhamisi Septemba
3, 2020