Home Mchanganyiko KAMISHNA WA UTAWALA CP BENEDICT WAKULYAMBA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA SIKU MBILI...

KAMISHNA WA UTAWALA CP BENEDICT WAKULYAMBA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA SIKU MBILI CHA WAKUU WA AFYA NDANI YA JESHI LA POLISI JIJINI DODOMA

0

Kamishna wa Utawala CP Benedict Wakulyamba akifungua kikao kazi cha wakuu wa Vituo Tiba katika Kikosi cha Afya ndani ya Jeshi la Polisi Tanzani Kinachofanyika  jijini Dodoma.(Picha na Jeshi la Polisi)

Kamanda wa Jeshi la Polisi Jijini Dodoma RPC (SACP) Gilles Muroto akiwa anatoa mada katika kikao kazi cha cha Wakuu wa Vituo Tiba katika Kikosi cha Afya Ndani ya Jeshi la Polisi kinachofanyika jijini Dodoma.

Kamishna wa utawala wa Jeshi la Polisi CP Benedict Wakulyamba katikati Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma RPC (SACP) Gilles Muroto kulia na kushoto kwa kamishna ni SSP Gerad O. Magesa Afisa Mnadhimu wa Kikosi cha Afya Ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Vituo Tiba vya Polisi
Tanzania kinachofanyika jijini Dodoma .
(Picha na Jeshi la Polisi)