Home Siasa MGOMBEA MWENZA MAMA SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA MVOMERO

MGOMBEA MWENZA MAMA SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA MVOMERO

0

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana Wananchi wa kijiji cha Mvomero Mkoani Morogoro alipokuwa njiani akitokea Turiani kuelekea Morogoro Mjini kuhutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM Uwanja wa Jamhuri Mrorogoro leo Septemba 02,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)