Home Michezo KIUNGO FUNDI KUTOKA ANGOLA, CARLOS CARLINHOS ATUA DAR TAYAR KUJUNGA NA YANGA...

KIUNGO FUNDI KUTOKA ANGOLA, CARLOS CARLINHOS ATUA DAR TAYAR KUJUNGA NA YANGA SC KUTOKA INTERCLUBE YA LUANDA

0

Kiungo Muangola Carlos Stenio Fernandes Guimaraes do Carmo ‘Carlinhos’ akiwa makao makuu ya Yanga SC baada ya kuwasili nchini leo kutoka Interclube au Inter ya Luanda, tayari kusaini mkataba wa kujiunga na vigogo hao wa Tanzania¬†