Home Michezo MECHI YA NGAO YA JAMII SIMBA SC NA NAMUNGO FC KUCHEZWA JUMAPILI...

MECHI YA NGAO YA JAMII SIMBA SC NA NAMUNGO FC KUCHEZWA JUMAPILI SHEIKH AMRI ABEID JIJINI ARUSHA

0

MECHI ya Ngao ya Jamii baina ya mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Simba SC na washindi wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), Namungo FC kuashiria upenuzi wa pazia la msimu mpya itachezwa Jumapili kuanzia Saa 9:30 Alasiri Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha